Collector
UAE yapiga marufuku wasafiri kutoka Uganda, DRC na Sudan Kusini kwa sababu ya Ebola | Collector
UAE yapiga marufuku wasafiri kutoka Uganda, DRC na Sudan Kusini kwa sababu ya Ebola
Swahili Times

UAE yapiga marufuku wasafiri kutoka Uganda, DRC na Sudan Kusini kwa sababu ya Ebola

Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umezuia wasafiri kutoka Uganda, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Sudan Kusini kuingia nchini humo kuanzia leo, ikiwa ni hatua ya kudhibiti maambukizi ya Ebola. Kusitishwa safari hizo kutaathiri viza zote mpya, ikiwa ni pamoja na viza za kutembelea kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Kitaifa ya Kukabiliana na Dharura na Majanga ya UAE (NCEMA) na Mamlaka ya Shirikisho ya Vitambulisho, Uraia, Forodha na Usalama wa Bandari (ICP). Wasafiri wanaofika moja kwa moja kutoka mataifa matatu yaliyoorodheshwa, au wale ambao wamepitia mataifa hayo, watakataliwa kuingia UAE. wale watakaoruhusiwa kuingia UAE ni ambao […] The post UAE yapiga marufuku wasafiri kutoka Uganda, DRC na Sudan Kusini kwa sababu ya Ebola appeared first on SwahiliTimes .

Go to News Site