Mwananchi
Wakati vituo vya afya 300 vya Serikali na binafsi vikifanyiwa tathmini ya ubora, wataalamu waliohitimu mafunzo ya usimamizi wa ubora wa huduma za afya wametakiwa kutumia elimu hiyo kuboresha huduma kwa wananchi na kupunguza malalamiko katika vituo hivyo.
Go to News Site