Mifuko ya tabaka ilivyo suluhisho vita dhidi ya upotevu wa mazao
Kwa miaka mingi wakulima wadogo nchini wamekuwa wakitumia nguvu, muda na rasilimali nyingi katika kuzalisha mazao ya chakula ili kujihakikishia huduma hiyo na kuongeza kipato cha familia.