Walalamikia mwitikio hafifu wa washiriki maonyesho ya biashara Tanga
Idadi ya washiriki katika maonyesho ya 13 ya kimataifa ya biashara yanayofanyika katika viwanja vya Mwahako jijini Tanga, imepungua kutoka washiriki 400 katika miaka iliyopita hadi 120 mwaka huu.