Mwananchi
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesisitiza kuwa mafanikio ya mfumo wa utoaji haki haupaswi kutegemea teknolojia pekee, bali unahitaji misingi imara ya uadilifu, uwajibikaji na uzalendo kati ya watendaji wa sekta ya sheria.
Go to News Site