Benki ya Azania Plc imeidhinisha malipo ya gawio la Sh18.36 bilioni kwa wanahisa wake katika Mkutano Mkuu wa 33 wa Wanahisa (AGM) uliofanyika jijini Dar es Salaam.