Mwananchi
Mabarobaro 130 walioomba msaada wa kulipiwa mahari na Taasisi ya Al Hikma Foundation, wamefungishwa ndoa kwa pamoja, huku Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katambi akiahidi taasisi hiyo kuunganishwa na mamlaka zote za uwezeshaji wananchi kiuchumi na ajira ili kuwawezesha vijana hao kumudu familia.
Go to News Site