Serikali imesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Russia haitaathiri uhusiano wa kidiplomasia wala ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na mataifa mengine duniani.