Mwananchi
Tanzania inatarajia kuvutia uwekezaji na biashara zenye thamani ya zaidi ya Dola 2 bilioni za Marekani (Sh5.2 trilioni) kutoka Russia katika kipindi cha miaka mitano ijayo huku sekta ya afya ikitarajiwa kunufaika kupitia uzalishaji wa dozi milioni 20 za chanjo nchini.
Go to News Site