Watendaji wa serikali za mitaa wamehimizwa kubuni na kuendeleza miradi itakayoongeza mapato katika mamlaka zao.