Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemfukuza uanachama Said Issa Mohammed kwa kosa la kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama hicho baada ya kukishtaki mahakamani.