Mwananchi
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, Deus Sangu ameeleza mafanikio sita ambayo Tanzania imeendelea kuyatekeleza katika kuimarisha sekta ya kazi, ajira na ustawi wa wafanyakazi, hatua anazosema zinaifanya nchi kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia duniani.
Go to News Site