Mwananchi
Wanafunzi waliohitimu darasa la saba katika Shule ya Msingi Oysterbay 1985, wameikabidhi shuleni hapo mtambo wa kisasa wa kusafisha maji kwa teknolojia ya Reverse Osmosis (RO) wenye thamani ya Sh13 milioni.
Go to News Site