Mwananchi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Arusha inamshikilia Ashley Mrangi (48), mkazi wa eneo la Kwa Morombo, kwa tuhuma za kujifanya ofisa wa taasisi hiyo na kutumia utambulisho huo kwa lengo la kujipatia manufaa kinyume cha sheria.
Go to News Site