Mwananchi
Kufuatia ajali zinazohusisha wanafunzi, Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Mbeya umefunga taa za kisasa za kidijitali katika maeneo ya Igawilo, Uyole na karibu na Chuo Kikuu cha Kikatoliki Mbeya (CUoM) kwa lengo la kuongeza usalama wa watembea kwa miguu, hususan wanafunzi.
Go to News Site