Collector
Wawili wafariki dunia ajali ya magari kugongana Daraja la Wami | Collector
Wawili wafariki dunia ajali ya magari kugongana Daraja la Wami
Mwananchi

Wawili wafariki dunia ajali ya magari kugongana Daraja la Wami

Watu wawili wamepoteza maisha katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana uso kwa uso katika eneo la Daraja la Wami, Kata ya Mandela, Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani.

Go to News Site