Mwananchi
Zaidi ya vijana 5,000 kutoka vyuo vikuu mbalimbali mkoani Morogoro wamefikiwa na programu za kuwaandaa kukabiliana na changamoto za ajira na kujiajiri, huku ikielezwa kuwa shahada pekee haitoshi tena kumwezesha kijana kufanikiwa katika soko la ajira la sasa.
Go to News Site