Swahili Times
Benki ya Exim Tanzania leo Juni 10, 2026 imeendesha zoezi la la uchangiaji damu wa hiari kitaifa kwa kushirikiana na taasisi ya Taifa ya Mpango wa Damu Salama (NBTS). Zoezi hilo lililofanyika katika mikoa sita ya Tanzania ikiwemo Dar es Salaam, Dodoma, Arusha, Mbeya, Tabora na Mtwara ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 11 ya ushirikiano wao unaolenga kuhamasisha na kusaidia juhudi za ukusanyaji wa damu nchini ili kupunguza au kuondoa kabisa changamoto ya upungufu wa damu katika hospitali na vituo vya afya nchini. Kwa zaidi ya miaka kumi sasa benki ya Exim Tanzania na taasisi ya Taifa ya Mpango wa […] The post Benki ya Exim Tanzania yaendesha zoezi la uchangiaji damu kwa kushirikiana na taasisi ya Taifa ya Mpango wa Damu Salama (NBTS) appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site