Collector
Giriş Yap
Dosari hati ya mashtaka yawaokoa waliohukumiwa kwa ubakaji, ulawiti | Collector
Dosari hati ya mashtaka yawaokoa waliohukumiwa kwa ubakaji, ulawiti

Dosari hati ya mashtaka yawaokoa waliohukumiwa kwa ubakaji, ulawiti

Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo wa Dodoma, imebatilisha adhabu ya kifungo cha maisha jela na kifungo cha miaka 30 walichokuwa wamehukumiwa watu wawili walioshtakiwa kwa ubakaji wa genge na ulawiti.

Go to News Site