Collector
Giriş Yap
Msigwa kuungana na Lema, Sugu, Boni Yai jukwaani Morogoro | Collector
Msigwa kuungana na Lema, Sugu, Boni Yai jukwaani Morogoro

Msigwa kuungana na Lema, Sugu, Boni Yai jukwaani Morogoro

Mchungaji Peter Msigwa, aliyerejea Chadema, anatarajiwa kuhutubia katika mikutano ya hadhara mkoani Morogoro akiwa pamoja na Godbless Lema, Joseph Mbilinyi (Sugu) na Boniface Jacob, maarufu Bon Yai, katika operesheni ya ‘Free Tundu Lissu na Katiba Mpya’.

Go to News Site