Collector
Giriş Yap
Mwakilishi aeleza kasoro za utengenezaji wa boti za uvuvi | Collector
Mwakilishi aeleza kasoro za utengenezaji wa boti za uvuvi

Mwakilishi aeleza kasoro za utengenezaji wa boti za uvuvi

Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar imekiri kuwapo kwa mapungufu katika awamu ya kwanza ya ugawaji wa boti za uvuvi (fiberglass), ikieleza kuwa maoni na mahitaji ya wavuvi hayakuzingatiwa kikamilifu wakati wa maandalizi ya mradi huo.

Go to News Site