Collector
Giriş Yap
Gachagua akataa fidia ya fedha, akusudia kukata rufaa | Collector
Gachagua akataa fidia ya fedha, akusudia kukata rufaa

Gachagua akataa fidia ya fedha, akusudia kukata rufaa

Aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, amekataa fidia ya Ksh50 milioni sawa na (Sh1 bilioni ) alizopewa na Mahakama Kuu kama fidia ya ukiukwaji wa haki zake za kikatiba, akisema kiasi hicho hakishughulikii masuala ya msingi aliyoyaibua kupitia kesi ya kupinga kuondolewa kwake madarakani.

Go to News Site