Collector
Giriş Yap
Kafulila asifu ziara ya Rais wa Singapore | Collector
Kafulila asifu ziara ya Rais wa Singapore

Kafulila asifu ziara ya Rais wa Singapore

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-CENTRE), David Kafulil amesema ziara ya Rais wa Singapore,  Tharman Shanmugaratnam imeleta hamasa kwa serikali, wanazuoni, jumuiya za wawekezaji na wananchi kwa ujumla. Akizungumza leo Juni 10, Dar es Salaam amesema hatua hiyo ni kutokana na muujiza wa … The post Kafulila asifu ziara ya Rais wa Singapore first appeared on HabariLeo .

Go to News Site