Collector
Mafunzo kuongeza ufanisi kwa wajasiriamali | Collector
Mafunzo kuongeza ufanisi kwa wajasiriamali
HabariLeo

Mafunzo kuongeza ufanisi kwa wajasiriamali

IRINGA: ZAIDI ya wajasiriamali 300 kutoka maeneo mbalimbali ya Jimbo la Iringa Mjini wamehitimu mafunzo maalumu ya ujasiriamali yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo, Fadhili Ngajilo. Mafunzo hayo yana lengo la kuwaongezea uwezo wa kushindana katika soko, kuboresha biashara zao na kuzitumia fursa za kiuchumi zilizopo kwa maendeleo yao binafsi na taifa kwa ujumla. Mafunzo … The post Mafunzo kuongeza ufanisi kwa wajasiriamali first appeared on HabariLeo .

Go to News Site