Collector
Nguzo za zege kuimarisha usambazaji umeme | Collector
Nguzo za zege kuimarisha usambazaji umeme
HabariLeo

Nguzo za zege kuimarisha usambazaji umeme

TABORA: Kampuni tanzu ya TANESCO ya kuzalisha nguzo za zege (TCPM) imeanza rasmi kusambaza nguzo za zege zinazozalishwa katika Kiwanda cha Nguzo za Zege kilichopo Mkoa wa Tabora, kwa lengo la kuimarisha na kuboresha miundombinu ya usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Akizungumza wakati wa zoezi la upakiaji wa nguzo hizo kwa ajili ya kusambazwa … The post Nguzo za zege kuimarisha usambazaji umeme first appeared on HabariLeo .

Go to News Site