HabariLeo
ARUSHA: Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, amewataka Watanzania kuendelea kulinda uhuru, amani na utulivu wa nchi kwa kupinga hadharani watu wanaohamasisha chokochoko na vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Kihongosi ameeleza hayo leo Juni 6,2026 alipotembelea na kuzindua Shina la Wakereketwa wa Noah Saccos, katika Stendi Kuu ya … The post Kihongosi: Tuwapinge wanaohamasisha chokochoko first appeared on HabariLeo .
Go to News Site