Collector
Wakulima Kagera wajiunga biashara ya kaboni | Collector
Wakulima Kagera wajiunga biashara ya kaboni
HabariLeo

Wakulima Kagera wajiunga biashara ya kaboni

KAGERA: WAKULIMA wadogo wapatao 180,000 katika Mkoa wa Kagera tayari wamesajiliwa kushiriki katika biashara ya kaboni, hatua inayotajwa kuwa fursa mpya ya kuongeza kipato kwa wananchi huku ikichochea juhudi za uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Mafanikio hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa KADERES, Leonard Kachebonao, wakati wa kikao cha wadau wa biashara … The post Wakulima Kagera wajiunga biashara ya kaboni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site