HabariLeo
DAR ES SALAAM: Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre), David Kafulila, ameongoza kongamano la kitaifa kujadili mageuzi makubwa ya sekta ya afya, akibainisha kuwa uwekezaji unaofanywa sasa utamaliza kabisa adha ya kusafirisha wagonjwa nje ya nchi. Kongamano hilo limefanyika leo Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi … The post Kafulila azungumzia mkatati wa rufaa matibabu ya nje first appeared on HabariLeo .
Go to News Site