Collector
TAMONGSCO yatoa neno kodi za mitaa | Collector
TAMONGSCO yatoa neno kodi za mitaa
HabariLeo

TAMONGSCO yatoa neno kodi za mitaa

ARUSHA: Shirikisho la Wamiliki na Mameneja wa Shule na Vyuo Visivyo vya Serikali Tanzania (TAMONGSCO) wamezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuacha kutoza kodi na tozo ambazo tayari zilisamehewa na Serikali Kuu, wakidai kuwa baadhi ya halmashauri zinatumia nguvu na askari mgambo kukusanya fedha hizo kinyume na sheria. Malalamiko hayo yameelekezwa zaidi kwa Halmashauri ya … The post TAMONGSCO yatoa neno kodi za mitaa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site