Collector
Wagonjwa 1000+ kutoka nje watibiwa hospitali ya Kaloleni | Collector
Wagonjwa 1000+ kutoka nje watibiwa hospitali ya Kaloleni
HabariLeo

Wagonjwa 1000+ kutoka nje watibiwa hospitali ya Kaloleni

ARUSHA: HOSPITALI ya Karoleni jijini Arusha imeendelea kuonyesha mafanikio makubwa katika sekta ya afya na kuibuka kuwa miongoni mwa vituo vinavyochangia ukuaji wa utalii wa afya nchini Tanzania, baada ya kuhudumia wagonjwa wageni zaidi ya 1,110 kutoka nje ya nchi. Hayo yamebainishwa leo Juni 6,2026 Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha … The post Wagonjwa 1000+ kutoka nje watibiwa hospitali ya Kaloleni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site