HabariLeo
DAR ES SALAAM: Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Mugisha Nkoronko, ametoa wito kwa Serikali kuendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji katika sekta ya afya nchini. Ameseme lengo kuiwezesha sekta binafsi kutoa mchango mpana na wenye tija katika utoaji wa huduma za matibabu kwa wananchi. Dk. Nkoronko ameyasema hayo, wakati akiwasilisha mada katika Kongamano … The post Rais wa MAT ataka mazingira ya uwekezaji yaboreshwe first appeared on HabariLeo .
Go to News Site