Collector
Benki ya Equity zaidi kupasua anga Zanzibar | Collector
Benki ya Equity zaidi kupasua anga Zanzibar
HabariLeo

Benki ya Equity zaidi kupasua anga Zanzibar

ZANZIBAR: BENKI ya Equity Tanzania imezindua rasmi kituo maalum cha huduma za kibenki cha Zanzibar Supreme katika eneo la Kijangwani, Mjini Magharibi Zanzibar, hatua inayolenga kuboresha huduma za kifedha kwa wateja wa hadhi ya juu, wawekezaji na wafanyabiashara. Uzinduzi wa kituo hicho ulioongozwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Hamad Omar Bakar, unaifanya … The post Benki ya Equity zaidi kupasua anga Zanzibar first appeared on HabariLeo .

Go to News Site