Collector
‘Dhana ya taka sifuri inafungua fursa biashara, viwanda’ | Collector
‘Dhana ya taka sifuri inafungua fursa biashara, viwanda’
HabariLeo

‘Dhana ya taka sifuri inafungua fursa biashara, viwanda’

UTURUKI: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amesema dhana ya taka sifuri na urejeshaji bidhaa ni fursa muhimu ya kukuza sekta ya viwanda, kuongeza thamani ya malighafi na kuchochea ukuaji wa uchumi wa taifa. Akizungumza katika kikao cha mawaziri kilichofanyika jijini Istanbul nchini Uturuki, Juni 5, 2026, kilichobeba mada ya Mageuzi ya Kijani ya … The post ‘Dhana ya taka sifuri inafungua fursa biashara, viwanda’ first appeared on HabariLeo .

Go to News Site