HabariLeo
ARUSHA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Kenani Kihongosi amewahimiza wananchi kujiunga na mifumo ya bima ya afya ili kupunguza gharama za matibabu, huku akiwataka kupuuza propaganda zinazoweza kuwakatisha tamaa kuhusu umuhimu wa bima hiyo. Kihongosi ameeleza hayo leo Juni 6,2026 alipotembelea na kushidiki kikao katika Shina Namba Mbili, … The post Kihongosi ahamasisha wananchi kujiunga mifumo ya bima first appeared on HabariLeo .
Go to News Site