HabariLeo
DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Dennis Londo, amelitaja Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuwa ni nguzo kuu ya kulinda afya za walaji na kuchochea ustawi wa viwanda nchini. Amebainisha hayo Katika hafla maalumu ya maadhimisho ya Miaka 50 ya TBS pamoja na utoaji wa tuzo kwa watumishi wa sasa na wastaafu … The post Londo: TBS ni nguzo kuu kulinda afya ya mlaji first appeared on HabariLeo .
Go to News Site