Collector
Wakulima wa korosho waishukuru serikali uwezeshaji pembejeo | Collector
Wakulima wa korosho waishukuru serikali uwezeshaji pembejeo
HabariLeo

Wakulima wa korosho waishukuru serikali uwezeshaji pembejeo

MTWARA: BAADHI ya Wakulima wa zao la Korosho katika kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara wameishukuru serikali kwa kuendelea kuwaletea pembejeo za korosho bure ili kuwapunguzia gharama za uzalishaji. Hayo yamejiri wakati wa zoezi la ugawaji wa pembejeo hizo za korosho lilipofanyika kwa wakulima wa zao hilo kwenye kata hiyo huku likiendelea … The post Wakulima wa korosho waishukuru serikali uwezeshaji pembejeo first appeared on HabariLeo .

Go to News Site