Collector
DCEA yataka ushiriki wa vijana kudhibiti dawa za kulevya | Collector
DCEA yataka ushiriki wa vijana kudhibiti dawa za kulevya
HabariLeo

DCEA yataka ushiriki wa vijana kudhibiti dawa za kulevya

ARUSHA: Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewataka vijana kuwa mabalozi wa mapambano dhidi ya dawa za kulevya kwa kuelimisha jamii, kushiriki kikamilifu katika juhudi za kuzuia matumizi ya dawa hizo. Lyimo ametoa kauli hiyo wakati akifunga Jukwaa la Vijana la Afrika Mashariki na Kati la … The post DCEA yataka ushiriki wa vijana kudhibiti dawa za kulevya first appeared on HabariLeo .

Go to News Site