Collector
Giriş Yap
Mbunge aomba benki maalumu ya wanawake | Collector
Mbunge aomba benki maalumu ya wanawake

Mbunge aomba benki maalumu ya wanawake

IRINGA: MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Fatma Rembo (CCM), ameibuka kuwa sauti ya wanawake wa Mkoa wa Iringa baada ya kuiomba Serikali kuanzisha benki maalumu ya wanawake itakayowawezesha kupata mitaji yenye masharti nafuu na kuongeza ushiriki wao katika shughuli za kiuchumi. Rembo aliwasilisha hoja hiyo mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano … The post Mbunge aomba benki maalumu ya wanawake first appeared on HabariLeo .

Go to News Site