Collector
Giriş Yap
Chalamila atembelea kituo cha TFF Kigamboni | Collector

Chalamila atembelea kituo cha TFF Kigamboni

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema ujenzi wa kituo Uwanja Cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Kigamboni uwekezaji mkubwa unaochochea maendeleo ya uchumi wa eneo husika pamoja na kuinua hadhi ya Kigamboni na Jiji la Dar es Salaam kwa ujumla. Akizungumza leo Juni 10, wakati wa ziara yake … The post Chalamila atembelea kituo cha TFF Kigamboni first appeared on HabariLeo .

Go to News Site