Collector
Giriş Yap
Tulia: Tanzania Iko Tayari kwa IPU | Collector
Tulia: Tanzania Iko Tayari kwa IPU

Tulia: Tanzania Iko Tayari kwa IPU

TANZANIA imewahakikishia wajumbe na wageni watakaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) kuwa imeweka na kuimarisha hatua zote muhimu za usalama na afya kuelekea mkutano huo utakaofanyika Oktoba 5 hadi 9, 2026 jijini Arusha. The post Tulia: Tanzania Iko Tayari kwa IPU first appeared on HabariLeo .

Go to News Site