Collector
ATCL kuanza safari Dar – Urusi Julai 2 | Collector
ATCL kuanza safari Dar – Urusi  Julai 2
HabariLeo

ATCL kuanza safari Dar – Urusi Julai 2

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametangaza kuanza kwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow kuanzia Julai 2 mwaka huu, hatua aliyoieleza kuwa itaimarisha biashara, uwekezaji na utalii kati ya Tanzania na Urusi. The post ATCL kuanza safari Dar – Urusi Julai 2 first appeared on HabariLeo .

Go to News Site