HabariLeo
DODOMA: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Ayoub Mohammed Mahmoud amesema SUMA JKT Marathon imefanikiwa kufikia malengo yake makuu matatu ya kuchangia huduma za afya, kutangaza bidhaa zinazozalishwa na JKT pamoja na kutoa fursa kwa wajasiriamali kuonesha na kuuza bidhaa zao. Naibu Waziri amesema hayo katika Maadhimisho ya Kilele cha Mbio hizo leo … The post Malengo ya JKT Marathon yaleta mafanikio kwa jamii first appeared on HabariLeo .
Go to News Site