Collector
Wadau watoa maoni urasimu sekta binafsi | Collector
Wadau watoa maoni urasimu sekta binafsi

Wadau watoa maoni urasimu sekta binafsi

DAR ES SALAAM: Mmoja wa wawekezaji katika sekta ya afya nchini Dk.Mahmood Mringo, ameishauri Serikali kufanya mageuzi makubwa ya kisera ili kunusuru sekta binafsi, akilalamikia utitiri wa kodi, mlolongo wa mamlaka za udhibiti, na riba kubwa za benki zinazokwamisha uwekezaji. Mringo aliwasilisha malalamiko hayo mbele ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia (PPP Centre), David … The post Wadau watoa maoni urasimu sekta binafsi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site