Collector
Giriş Yap
Mradi wa uchorongaji visima gesi asilia Mtwara unavyonufaisha wazawa | Collector
Mradi wa uchorongaji visima gesi asilia Mtwara unavyonufaisha wazawa

Mradi wa uchorongaji visima gesi asilia Mtwara unavyonufaisha wazawa

MTWARA: Zaidi ya Watanzania 320 wameajiriwa katika nafasi mbalimbali  huku wengine wakinufaika kupitia zabuni zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 20 zinazotokana mradi wa uchorongaji wa visima vitatu vya gesi asilia unaoendelea katika Kitalu cha Mnazi Bay kilichopo mkoani Mtwara umeleta Hayo yameelezwa na Mhandisi Fabian Mwose kutoka Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa … The post Mradi wa uchorongaji visima gesi asilia Mtwara unavyonufaisha wazawa first appeared on HabariLeo .

Go to News Site