HabariLeo
MAKAMU wa Rais, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, ametoa maagizo 10 kwa wadau wa mazingira, ikiwamo mamlaka za Serikali za Mitaa hususan manispaa na majiji, kuanzisha bustani za kijani na kuhakikisha zinatunzwa ipasavyo. The post Nchimbi atoa maagizo 10 kulinda mazingira first appeared on HabariLeo .
Go to News Site