Collector
Wakulima Shinyanga wanufaika na Amco’s | Collector
Wakulima Shinyanga wanufaika na Amco’s
HabariLeo

Wakulima Shinyanga wanufaika na Amco’s

SHINYANGA: WAKULIMA 164,400 mkoani Shinyanga wamenufaika na huduma kupitia Vyama vya Msingi (Amco’s) huku vyama hivyo vikiendelea kuimarishwa zaidi na kupewa elimu ya mara kwa mara. Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Shinyanga Ibrahim Kakozi amesema hayo kwenye jukwaa la maendeleo ya ushirika lililofanyika mjini Kahama huku akieleza ushirika una wanachama zaidi ya … The post Wakulima Shinyanga wanufaika na Amco’s first appeared on HabariLeo .

Go to News Site