Collector
Giriş Yap
Wakulima sasa mambo kidigitali | Collector
Wakulima sasa mambo kidigitali

Wakulima sasa mambo kidigitali

DAR ES SALAAM: Wakulima na wanachama wa vyama vya ushirika nchini wanatarajiwa kunufaika na ongezeko la upatikanaji wa huduma za kidijitali na kifedha kupitia jukwaa la M-Kulima kufuatia Kampuni ya Vodacom Tanzania PLC leo kusaini hati ya makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na Tume ya Maendeleo ya Ushirika (TCDC) yenye lengo la kuimarisha matumizi ya dijitali … The post Wakulima sasa mambo kidigitali first appeared on HabariLeo .

Go to News Site