Collector
Giriş Yap
Mwigulu awapa onyo watumishi wanaowanyima haki wananchi | Collector
Mwigulu awapa onyo watumishi wanaowanyima haki wananchi

Mwigulu awapa onyo watumishi wanaowanyima haki wananchi

IRINGA: WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, amesema Serikali haitasita kuwaondoa kazini watumishi wa umma watakaobainika kuwanyima wananchi haki zao au kuwazungusha bila sababu wanapohitaji huduma katika ofisi za umma. Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi wa Jimbo la Ismani uliofanyika katika Kata ya Kihologota mkoani Iringa, Dk Nchemba alionesha … The post Mwigulu awapa onyo watumishi wanaowanyima haki wananchi first appeared on HabariLeo .

Go to News Site