HabariLeo
ARUSHA: KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amewataka wananchi kusimama kidete katika kukemea vitendo vya ukatili dhidi ya watoto pamoja na mmomonyoko wa maadili. Lengo ni kulinda ustawi wa familia na kuhakikisha watoto wanakua katika mazingira salama yanayowawezesha kutimiza ndoto zao. Kihongosi ametoa mwito huo leo … The post Kihongosi: Tukemee ukatili, tulinde watoto first appeared on HabariLeo .
Go to News Site