Swahili Times
Serikali imesema Bajeti Kuu ya mwaka wa fedha 2026/27 ndiyo bajeti ya kwanza itakayotumika kutekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano pamoja na Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2025-2030. Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Omar amesema Serikali inatarajia kutumia jumla ya TZS trilioni 62.3 katika mwaka wa fedha 2026/27, ambapo sehemu kubwa ya fedha hizo zitaelekezwa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya kimkakati. “Fedha hizi zitaelekezwa katika kuendelea na ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), kuboresha mtandao wa barabara, kuimarisha huduma za maji, kuendeleza miradi […] The post Serikali kutumia Shilingi trilioni 62.3 mwaka wa fedha 2026/27 appeared first on SwahiliTimes .
Go to News Site